"Mnyika atakuwa Katibu Mkuu wa kwanza kutopata ubunge na ataipa CHADEMA viti visivyozidi saba Tanzania Bara na Visiwani, sasa chama hakina hata jengo la Makao Makuu unafirikiri kitafanya maendeleo gani?? Unajua kuna mambo mengine ukiambiwa na wewe utafakari" RC Makonda (@baba_keagan)