Vera Sidika Afunguka 'Wanaume wa Kenya Hawajui Mapenzi, Watanzania Wananikuna Mpaka Kunako"

Vera Sidika Akiwa na Mpenzi Mpya Mtanzania

Penzi la Mrembo mwenye umbo zuri Kenya nzima Vera Sidika na kijana Toka Tanzania lazidi Kupamba Motooo, Vera Sidika amefunguka kuwa penzi analopata kutoka kwa mtanzania huyo hajawahi pata popote toka azaliwe, adai hakuna Mkenya aliewahi kumfikisha kilele cha mlima Kilimanjaro...

Vera Sidika pia kipindi cha nyuma alishawahi kuwa kimapenzi na Mtanzania mwingine anayejulikana kama Calisah Pichani chini:


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad