Web

VIDEO:Kwa Uchungu Polisi wa Marekani Adondosha Machozi Mbele ya Waandamanaji

Top Post Ad



Ikiwa bado maandamano yanaendelea nchini Marekani wa kupinga uonevu wa Polisi dhidi ya watu weusi, hii ilibuka baada ya George Floyd kufariki kwenye mikono ya Polisi siku kadhaa zilizopita huko Minneapolis.

Sasa time hii nimekutana na hii ya Polisi akiongea kwa uchungu huku akidondosha machozi kuhusu kile kinachoendelea nchini humo mbele ya waandamanaji.

Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.