Vilabu vya Ligi Kuu ya England EPL vimekubaliana kufanya mabadiliko ya wachezaji hadi watano msimu huu badala ya watatu kama ilivyokuwa awali, na pia katika benchi ya ufundi idadi ya wachezaji wa akiba iongezeke kutoka wachezaji saba hadi tisa. Ni kuanzia Juni 17, 2020.