Vimbwanga vya Dunia Kutana na Mwanaume Aliyejibadilisha na Kuwa wa Jinsia ya Kike


Vimbwanga vya dunia kwenye sekta ya kujibadilisha jinsia 😱😱😱 Huyu ni mtu mmoja na anaitwa MARTIN HUGHES. Alizaliwa wakiume kbs ila kwa sababu ambazo hazijulikani Martin kwa sasa ni Amejibadilisha Kuwa mwanamke... Ni Raia wa Ghana kwa sasa ukikutana nae unaweza usiamini Kama alishawahi kuwa ni wakiume


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad