Waziri wa Afya Apewa TUZO Kutokana na Juhudi Alizoonyesha Katika Kukabiliana na Corona
0
June 20, 2020
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Khoja Shia Ithna Asheri Azzim Dewji akimkabidhi tuzo Waziri wa Afya, maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu, ishara ya kuthamini mchango na juhudi zilizofanywa na wizara hiyo katika kukabiliana na ugonjwa wa #Covid19.
Tags