Young Killer Amefunguka kwanini waliachana na Mrembo Jack Wolper Baada ya kuwa kwenye mapenzi ya siri kwa muda mrefu
Young Killer - "Wolper alinifumania na mwanamke mwingine chumbani kipindi nipo kwenye mahusiano nae ndio maana akapata hasira na kuamua kuvishwa pete haraka haraka bila kufikiria na kikamtokea kilichomtokea"