Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa, kabla ya watu wasiojulikana kumvamia na kumshambulia Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe, walimuambia kwamba yeye amekuwa akiisumbua sana Serikali na wala hawana mpango wa kumuua bali wanataka kumvunja tu.
Msigwa ameyabainisha hayo leo Juni 9, 2020, wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma.
"Kuanzia saa 1 hadi saa 3 usiku tulikuwa wote, baadaye alipita maeneo ya karibu na kwangu akapaki gari yake, na walinzi wake waliondolewa kipindi kile cha sakata la Corona, kwa maelezo yake sasa wakati anapanda ngazi kwenda nyumbani kwake, wakashuka watu watatu wakiwa wamevaa makoti meusi wakamuambia wewe unaisumbua sana Serikali, tunataka tukuoneshe kama Serikali ipo, sisi hatuna mpango wa kukuua ila tunataka tukuvunje, ili ushindwe kufanya kampeni" amesema Mchungaji Msigwa.
Aidha Msigwa ameongeza kuwa "Ni aibu kubwa sana Wabunge kuushambuliwa tena kwa mara ya pili tukiwa bungeni tukifanya kazi ya wananchi, chama kinajipanga ili kutoka kwa wananchi kuongea na kujua nini msimamo wetu".
Msigwa Pita, Wewe ni MZUSHI NA MUONGO
ReplyDeleteWA KITAIFA UIYE KIRI KTK MITANDAO NA MEDIA ZOTE. NIA ULIOTANGAA NI BATILI NA UNAYOZUNGUMZA PIA HATUKUAMINI KAMA ULIVYOKIRI
NA TUSINGEPENDELEA NNA HAIPENDEZI KUWA
NA MGOMBEA UTUMISHI MUONGO . WITHDRAW
NIA MWACHIE DKT MAYROSE NA JIMBO MH MTRJIWA STEVE NYERERE(Homa yako).
YA MBOWE MWACHIE KAMANDA MUROTO.
WEWE NI MUONGO ULIYEKIRI NA KUBAINI KWA ULIMI WAKO..!! Au ulileweshwa??
WEWE UTAMLEWESHAJE M/KITI MPAKA ASHINDWE NGAZI? NIA YAKO ILIKUWA NINI?
RIPOTI YAKO INAHITAJIKA HARAKA.!!
Msigwa Pita, Wewe ni MZUSHI NA MUONGO
ReplyDeleteWA KITAIFA ULIYE KIRI KTK MITANDAO NA MEDIA ZOTE. NIA ULIOTANGAZA NI BATILI NA UNAYO ZUNGUMZA PIA HATU KUAMINI KAMA ULIVYOKIRI MWENYEWE.
NA TUSINGEPENDELEA NA HAIPENDEZI KUWA

Wewe kweli Kikaragosi.
ReplyDeleteHivyo, Huoni hata haya kidogo, Kusema
UONGO..???
Kwa umri uliokuwa nao? HAIPENDEZI..!!
Unaa Familia hasa? Maadili gani utawafundisha?? Au unataka wawe huko
mashuleni wawe wanaitwa watoto wa Msigwa!! yupi?? (aka) YULE MZEE MUONGO
Inasikitisha na Haiipendezi.
Katoe maelezo yako kwa Kamanda Muroto.
Steve Nyerere Oyeee.
Iringa Oyeeee.