Zitto Kabwe, Seleman Bungara (Bwege) na Viongozi Wengine ACT-Wazalendo Waachiwa Kwa Dhamana




Kiongozi wa ACT Wazalendo Mhe.Zitto Kabwe na Bwana Seleman Bungara (Bwege) na viongozi wengine 6 wameachiwa kwa dhamanabaada ya hapo jana kukamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Lindi wakiwa katika kikao cha ndani Jimbo la Kilwa Kusini.

Zitto na viongozi hao walikamatwa jana Jumanne asubuhi tarehe 23 Juni 2020 wakiwa katika kikao cha ndani katika ukumbi wa Starnford Bridge, Kilwa Masoko mkoani Lindi.

Wengine ni; Mbunge wa Kilwa Kusini (CUF), Seleman Bungara maarufu ‘Bwege’ , Akida Mawanja, Mlinzi wa Zitto na Shaweji Mketo ambaye ni Mkurugenzi wa Oganaizesheni.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad