Tumekutana na Dj Mack anayejishughulisha na kutafsiri Filamu mbalimbali zilizokatika Lugha za kigeni na kuziweka katika lugha ya kiswahili. Ameweka wazi vitu faida anayopata kupitia kazi hiyo. Pia amesema ameshawahi kuwauzia kazi mastaa mbalimbali Kama vile Barnaba, Rayvanny na wengine wengi.
NAFASI ZA 98 AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO BONYEZA HAPA>>AJIRA YAKO
VIDEO: