Amri Kiemba "Yanga Wanatumia Suala la Kocha Kuwa Mbaguzi Kufukia Matatizo Yalipo Katika Uongozi"


Amri Kiemba amesema, adhabu hatua iliyochukuliwa na Yanga kwa kocha wao kutokana na uzito wa tatizo ni saizi yake lakini ukiachana na masuala ya ubaguzi aliyoyaongea, kocha ameongelea pia kuhusu matatizo ya uongozi.

“Inawezekana sasa uongozi umetumia masuala ya ubaguzi kufukia mambo mengine ambayo kocha ameyataja. Kocha anamatatizo yake lakini nahisi ndani ya Yanga kuna matatizo mengine.”

Ukianzia suala la Morrison unaonaona kabisa ndani kuna shida lakini kocha anatumiwa kufukia matatizo mengine ya muda mrefu.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad