Web

Askofu Gwajima Kujipima Ubavu na Halima Mdee...Atangaza Kuwania Ubunge Kawe



Askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na Uzima Josephat Gwajima ametangaza Nia ya kugombea ubunge wa Kawe kwa tiketi ya chama Cha mapinduzi CCM. Askofu Gwajima leo pia amefika katika ofisi za CCM Kawe kupatiwa maelekezo yote ya msingi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad