Breaking News: Babu Tale ameshinda kura za maoni CCM Jimbo la Morogoro Vijijini Kusini Mashariki


Hamisi Taletale maarufu Babu Tale ameshinda kwenye kura za maoni CCM Jimbo la Morogoro Vijijini Kusini  Mashariki kwa kupata kura 318, anayemfuatia ni Naibu Waziri wa Kilimo Omari Mgumba mwenye kura 242, mshindi wa tatu ni Kibena Kingo mwenye kura 40.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Naanza kuamini alimtoa mkewe Shamsa kafara..

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad