Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amewashinda watia nia wenzake 12 wa Ubunge jimbo la Nzega Mjini kwa kura 367 kati ya kura 376 zilizopigwa, sawa na asilimia 97.