Web

Breakin News: Rais Magufuli afanya Uteuzi, Kunenge achukua nafasi ya Makonda Dar es Salaam

Top Post Ad



Rais John Magufuli amemteua Aboubakar Kunenge kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akichukua nafasi ya Paul Makonda. 

Kunenge kabla ya uteuzi huo alikuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.