Web

BREAKING NEWS : Askofu GWAJIMA Atangaza NIA KUGOMBEA UBUNGE Jimbo la HALIMA MDEE...

Top Post Ad

BREAKING NEWS : Askofu GWAJIMA Atangaza NIA KUGOMBEA
UBUNGE Jimbo la HALIMA MDEE...
ASKOFU wa kanisa la Ufufuo na uzima, Josephat
Gwajima, leo Julai 01, ametangaza nia ya kugombea
Ubunge katika jimbo la Kawe kupitia (CCM)
Jimbo hilo kwa hivi sasa lipo chini ya Mbunge wa
Chadema, Halima Mdee..
TOA MAONI YAKO HAPA
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.