Breaking News: Joshua Nassari Apokelewa CCM Arusha, Aibuka Kwenye Mkutano wa CCM


#BreakingNews: Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki kupitia Chadema) Joshua Samwel Nassari amehudhuria kwenye mkutano wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Arusha.

Tetesi zinadai huenda akaachana Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kujiunga na
CCM.

Mkutano huo umehudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Tanzania, Kheri James, Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wengine wengi.


Marchi 2019 Spika Ndugai alitangaza kumvua Ubunge Joshua Nassari kwa kushindwa vikao vitatu vya mahudhurio ndani ya Bunge.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad