Breaking News: Ndugulile Aibuka Kidedea Kigamboni, Makonda Ashindwa Kwa Kura
0Udaku SpecialJuly 20, 2020
Leo July 20,2020 Aliyekuwa Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile ameibuka mshindi wa kura za maoni Kigamboni kwa kupata kura 190, mshindi wa pili ni aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda mwenye kura 122.