Furaha Dominic Jacob ameshinda kura za maoni kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa kupata kura 101. Angela Kizigha kura 85, Askofu Josephat Gwajima kura 79 na Benjamin Sitta kura 61
Breaking News: Sitta, Gwajima Chali jimbo la Kawe, Furaha Dominic Jacob ashinda kura za maoni
0
July 21, 2020
Tags