BREAKING News: Tume ya Taifa Ya Uchaguzi Yatanganza Tarehe ya Uchaguzi Mkuu Tanzania



Tume ya Taifa ya Uchaguzi  (NEC) nchini Tanzania imesema, Uchaguzi Mkuu wa udiwani, ubunge na Urais wa Tanzania utafanyika Jumatano Oktoba 28, 2020.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Jumanne tarehe 21 Julai 2020, Mwenyekiti wa NEC, Semistocles Kaijage amesema Uchaguzi mkuu utafanyika October 28 Mwaka huu huku Kampeni zikitarajiwa kuanza August 26 hadi October 27, 2020.

Wakati huo huo Uteuzi wa Wagombea wa kiti cha Urais,Makamu wa Rais, Ubunge na Udiwani utafanyika August 25, 2020
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad