Captain G Habash "Mimi siwezi Kuona Mtoto Wangu Anaolewa na Mtu Maskini"
0
July 13, 2020
Baba Mzazi wa Msanii wa Bongofleva MalkiaKaren Amefungua na Kusema Yeye Hato Kubari Kuona Mtoto Wake Anaolewa na Mtu Masikini, Sio tu Mtu Maskini Bali Mtu Mwenye Uwezo, Uwezo wa Hekma, Uwezo wa Maarifa, Uwezo wa Fedha, Uwezo wa Mawazo, Unaweza Ukawa na Pesa Halafu Ukawa Pimbi.
Tags