David Silinde Ashindwa Kura za Maoni CCM Jimbo la Tunduma.....Mshindi ni Aden Mwakyonde



Aliyekuwa mbunge wa Momba kupitia Chadema, David Silinde ameshindwa kura za maoni Jimbo la Tunduma Mkoa wa Songwe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kupata kura 118 huku Aden Mwakyonde akiibuka mshindi kwa kura 250 na Daines Sichalwe kura 20.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad