Web

Diamond Platnumz Atoboa Siri ya Asili ya Baba Yake Mzazi...Kumbe Sio Mtanzania....!

C.E.O Wa Wcb Wasafi Na Wasafi Media @diamondplatnumz Leo Ameweka Wazi Kuwa Baba Yake Pia Ni Mtu Ana Asili Ya Uganda Jambo Ambalo Kwa Wengi Limekluwa kama Jipya Kidogo

@diamondplatnumz Leo Amepost Video Ya Watoto Kutokea Uganda Wakicheza Wimbo Mpya Alioshirikishwa Na @rayvanny #Amaboko Na Kuisindikizia Na Caption

''🇺🇬UGANDA 🇺🇬 you know My Dad is from there and My two Kids are from there right.....? 🔥⛽ @ghettokids_tfug #AMABOKO @@rayvanny

Ulikuwa Unalijua Hili Kabla Acha Comment Yako

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad