Dorice Mgeta ashinda kura za maoni CCM Ubunge Viti Maalum (Vijana) Mkoa wa DSM



Mshindi wa kura za maoni CCM Ubunge Viti Maalum (Vijana) Mkoa wa DSM ni Dorice Mgeta mwenye kura 10 kati ya kura 36 zilizopigwa, nafasi ya pili imeenda kwa Doria Mollel ambaye amepata kura 9 akifuatiwa na Lillian Rwebangira mwenye kura 7, wagombea walikuwa 64.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad