Wanawake wengi wenye hips , ni wanawake ambao si kwa mwanaume tu hata kwa wanawake wenzie husifia kuwa fulani kajaliwa, ki maumbile, ni kweli wana mvuto wapekee, humwagiwa sifa nyingi za urembo, lakini pia kwa upande mwingine wa shillingi nimatatizo tupu.
Sifa:
1. Huwatesa sana wakina baba wanapokuwa katika vyombo vya usafiri kama daladala, treni, meli na ngalawa, mababa wengi hujawa na hisia kali za mahaba kiasi kwamba hupata mfadhaiko.
2. Hawana haraka sana kwani mwendo wao, hutembea kwa maringo, hata daladala likisimamia mbali hawawezi kukimbia kuwahi.
3. Hutongozwa wanaume watano kwa siku, hata wanaume wasiposema kitu angalau ukonyeza.
4. Ni wasikivu sana wakati wa kudatemaana wengi ni warefu hupenda sana kukuinamia kusikia zaidi uliongealo.
Matatizo.
5. Kwa kuwa huwa wanavutia sana nirahisi kurubuniwa kwani mwanamke yeye duniani hawezi kutongozwa watu elfu 2000 asimpendemmojawapo.
6. Hawana raha kwani ukodolewa sana machona watu, si wanawake wala wanaume.
7. Upata magonjwa sana asa fungus kwani sehemu zao za siri hazipati hewa ya kutosha kufatana na kubanana kwa nyama na msuguano kila watembeapo.
8. Wana gharama sana kuwatunza kwa sababu hawatakiwi kutembea kwa muda mrefu kuogopa msuguanahivyo umuoapo ni lazima ughalimike usafiri au unatakiwa kumunulia skin taiti kila mara kwa kuwa zinahariibikamuda mfupi sehemu ya mapaja.