Fredy Lowasa aibuka mshindi wa kura za maoni jimbo la Monduli



Fredy Lowasa ambaye ni mtoto wa Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowasa, ameibuka mshindi wa kura za maoni jimbo la Monduli baada ya kupata kura 244. 


Mbunge aliyemaliza muda wake Julius Kalanga amepata kura  162, na Wilson Lengima amepata kura 149

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad