Hatimaye Paul Makonda Afunguka Haya Baada ya Kupigwa Chini Kura za Maoni "Nimepata Pole Nyingi Sana"

Mh Makonda Ameandika Kutoka Kwenye Ukurasa Wake wa Instagramu:-

"Nimepata pole nyingi sana kutokana na Matokeo ya jana.Kwanza nawashukuru kwa upendo wenu na Maombi yenu ya kunitakia mafanikio ktk kutimiza NDOTO yangu. Jambo moja Kubwa na Muhimu ni kuyajua Mapenzi ya Mungu na ktk hili Mapenzi ya Mungu ni Makubwa kuliko Mapenzi yangu. Nawatakia baraka na afya njema siku zote za Maisha yenu. Asanteni sana sana Wana KIGAMBONI kwa upendo wenu na kunipa nafasi niwe sehemu ya Maisha yenu" Makonda

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad