Web

Hizi Ndizo Kauli Chafu Alizozitoa Kocha wa Yanga, Luc Eymael na Kupelekea Kutimuliwa Vibaya

Kauli alizozitoa Kocha wa Yanga, Luc Eymael Jana Jumamosi na kupelekea kufukuzwa kazi

"Sifurahii nchi hii [Tanzania]. Nyinyi ni watu ambao hamjaelimika. Nimechukizwa. Sina gari, WiFi au DSTV. Mashabiki hawajui chochote kuhusu Soka. Ni kama nyani au mbwa wanavyopiga kelele."
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad