Zoezi la kuhesabu kura za maoni, Jimbo la Kisarawe limekamilika na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo ameibuka mshindi.
Selemani Jafo-588
Hassan Bangusilo- 1
Fransis Gosbert -1
Mohamed Masenga-1
Ally Goha -2
Zemba Mumbi -2
Zainabu Zowange-2
Chaulembo -3