Josephat Gwajima Chali, Vicent Mashinji Aambulia Kura Mbili Kawe

‪JIMBO LA KAWE: Furaha Dominic Jacob ameshinda kura za maoni kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa kupata kura 101. Angela Kizigha kura 85, Askofu Josephat Gwajima kura 79 na Benjamin Sitta kura 61 na Vicent Mashinji (Katikati) ambae alihama CHADEMA na kwenda CCM ameibuka na kura 2
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad