Kanali Mstaafu Atinga na Usafiri wa Mkokoteni Kurejesha Fomu ya Ubunge
3
July 19, 2020
Kanali mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Kichonge Mahende Masero, ambaye ametia nia ya kugombea jimbo la Tarime Mjini alizua gumzo akiwa anachukua fomu na kuirejesha akiwa kwenye usafiri wa mkokoteni.
Masero ambaye ni kada wa CCM Ijumaa Julai 17, 2020 wakati akirejesha fomu alitumia usafiri wa mkokoteni huku bodaboda zikimsindikiza.
Baadhi ya watu walimshangaa alivyokuwa akiendeshwa na mkokoteni huo.
Tags
Huyu Hatufai, Ni mchekeshaji na mtafuta
ReplyDeletekiki kabla hata Ubunge Hajaunusa.. Haya Ndugu Mkokoteni na Boda Boda Bodyguard.YUKUSAIDIE NINI...KURA AU KULA?
Huyu Hatufai, Ni mchekeshaji na mtafutakiki kabla hata ya Ubunge Haja unusa.. Haya Ndugu Mkokoteni na Boda Boda Bodyguard.
ReplyDeleteTUKUSAIDIE NINI...KURA AU KULA?
Tunaomba kujua, Kanali Mstaafu, Alipanda mkokoteni Dezo au Alilipia na kiasi gani? Au yeye ndie mmiliki wa Mkokoteni?
ReplyDeleteInavyo elekea Gurudumu la upande wa kulia limepinda, Je wana Usalama Barabarani Wamelichukuliaje suala Hili?
Isitoshe Mbunge Mtarajiwa Hajavaa hata Mkanda wala Helimeti kwa Usalama wake.. ? Hii ikoje hapa??