Khadija Khalid Ismail ashinda kura za maoni CCM Ubunge Viti Maalum (Vijana) Mkoa wa Pwani



Mshindi wa kura za maoni CCM Ubunge Viti Maalum (Vijana) Mkoa wa Pwani ni Khadija Khalid Ismail mwenye kura 15 kati ya kura 40 zilizopigwa, nafasi ya pili imeenda kwa Mary Daniel mwenye kura 8 akifuatiwa na Mufandi Hamisi mwenye kura 6.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad