Wengi wanapo enda kuoa vigezo wanavyo zingatia ni pamoja na : Mwanamke mwenye tabia nzuri, Mcha Mungu, Mwenye heshima, Adabu na nidhamu. Mkweli, Mwaminifu, Mtiifu, mvumilivu, mwenye akili ya maisha n.k.
Wengine vichwa maji wana angalia uzuri wa sura na maumbile na performance kitandani and stuffs like those.
However kipo kigezo muhimu sana unacho takiwa kukizingatia.
Watu wengi hawazingatii kigezo hiki.
Kigezo ninacho kizungumzia si kingine bali ni ndugu wa mkeo. By ndugu wa mkeo namanisha dada, kaka na wadogo wa mkeo.
Usioe mwanamke ambae ndugu zake yani kaka zake na dada zake ama wadogo zake wanaishi maisha ya hovyo.
Kumbuka hawa ndugu wa mkeo ndio wanaenda kuwa wajomba na mashangazi wa watoto wako.
Ndugu wa mkeo wanatakiwa at least wawe ni watu wasio ishi maisha ya hovyo.
Kwa mfano unaenda kumuoa msichana ambae kaka ake ni teja ( wale wanao piga debe ) ili iweje? Unamaanisha nini? Yani unataka huyo teja ndio awe uncle wa watoto wako? U must be joking.
Wajomba na mashangazi ni watu muhimu sana katika familia zetu za kiafrika na mara nyingi wanakuwaga na nafasi kubwa katika maisha ya wapwa zao.
Unaoa mwanamke dada zake wanajiuza barabarani. Hao unataka ndio wawe mama wadogo wa watoto wako?
Hata kama utasema watoto wako utaishi nao mbali na mazingira ambayo yapo accesed na hao wajomba na shangazi zao, dont forget life is not guaranteed kesho na keshokutwa unaweza ukawa haupo duniani wewe au wote wewe na mkeo na hao mateja mashoga na machangudoa ndio watakao enda kuwa walezi wa watoto wako.
Kingine epuka kuoa ama kuolewa na mtu wa dini tofauti na wewe if u actuay want ur children to be raised in accordance with ur faith or belief.
Kwa mfano wewe ni muislamu kama mimi na unataka watoto wako wakue katika maadili ya dini ya kiislamu, unaoa mwanamke wa kikristo wa nini.
Usioe hata kama atasilimu kwa sababu bado kaka zake na dada zake ni wakristo.
Siku mkiachana watoto wakiwa bado wadogo wataenda kuishi kwa mama yao and trust me mama yao,bibi yao, mjomba au mama ao mdogo atawapeleka kanisani tu. Ukifa ndo kabisa watoto wako wanaenda kulelewa kikristo against ur will
Halafu in addition to that wewe huoni miyeyusho mtoto wako kuwa na mjomba anaitwa Mathayo, Ebenezer or something?
The same thing to Christians. Wewe Mkristo unafurahia kweli mtoto wako awe na mjomba anaitwa Abdallah, Omary au Mamdogo Maimuna? Hapana haijakaa sawa hiyo.
This theory operates vice versa. Wanawake pia mnatakiwa muwatazame sana aina ya ndugu wa wanaume mnao taka kuingia nao katika agano la kuishi kama mke na mume.
Kwa maslahi mapana ya watoto nashauri ;
1. Usioe ama kuolewa na mwanamke au mwanaume ambae ndugu zake wa tumbo moja wanaishi maisha ya hovyo .
Make sure watoto wako wanakuwa surrounded with uncles and aunties who reflect who ur and what u want ur children to be. DO A VERY EXTENSIVE VETTING BEFORE MARRYING A PERSON. Dont rush there is nothing to rush about.
2. Oa ama olewa na mwanamke au mwanaume wa dini yako.
# KUOA MWANAMKE AMBAE KAKA NA DADA ZAKE WA TUMBO MOJA WANAISHI MAISHA YA HOVYO AMOUNTS TO CHILD ABUSE.
DONT ABUSE UR OWN SEED
# UPDATE : Kumbuka unapoenda kuoa mwanamke mà ana yake ni kwamba unaunganisha familia yako na familia ya huyo mwanamke utakae muoa.
In any manner whatsoever, it is not a gud idea kuwaunganisha watoto wako kwenye familia yenye watu wanaoishi maisha ya hovyo hovyo.
Blv me or not utafika muda huo u hovyo hovyo utawaathiri watoto wako katika namna ambayo hutoifurahia.