Kiwanja Kunauzwa Kipo Mapinga Kerege Bagamoyo Karibu na Bunju B



KIWANJA kinauzwa kipo Kerege Mapinga, kiwanja ni kizuri sana kipo kona kinaukubwa wa 30 kwa 20 barabara zake ni kubwa, pia zoezi la upimaji Ardhi linaendelea.. Bei Million 5

Kiwanja hakina mgogoro wowote, kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0714 604 974
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad