Aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema, na aliyekuwa Mbunge wa Tarime Vijijini (Chadema), John Heche, wametangaza kuchukua fomu leo ya kugombea katika majimbo yao waliyokuwa wanayaongoza.
Lema amesema leo majina ya saa tano atakwenda kuchukua fomu ya kuendelea kuwa mbunge wa Arusha Mjini 2020 hadi 2025.
Kesho nitachukua fomu ndani ya chama changu kuanza mchakato wa kutetea nafasi yangu ya kuendelea kuongoza jimbo la Tarime Vijijini.— John Heche (@HecheJohn) July 8, 2020
Tuko tayari kuendelea kuifanya kazi ya kujenga Taifa la kidemokrasia linaloheshimu utu,haki, usawa na ustawi wa watu.
Kesho tarehe 9/7/2020 nitachukua fomu ya kuendelea kuwa Mbunge wa Arusha Mjini 2020 - 2025 tena. Ni katika ofisi za CHADEMA Kanda ya Kaskazini,saa tano asubuhi.— Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) July 8, 2020
Kura Hamna Zaidi ya wake zenu kuwapa Kura ajili na wao na Kula.
ReplyDeleteHeche karibu Sengerema boys.
Lema Karibu stendi yetu ajili ya Kuuza Mtori. na Kubangaiza.
iwe Jua iwe mvua tumeshaigia Jimboni kwetu na kurudisha heshima
stahiki ya Manajimbo na Nchi kwa Ujumla Wake. Tanzania Mpya Oyee!
ura Hamna Zaidi ya wake zenu kuwapa Kura ajili na wao na Kula.
ReplyDeleteHeche karibu Sengerema boys.
Lema Karibu stendi yetu ajili ya Kuuza Mtori. na Kubangaiza.
iwe Jua iwe mvua tumeshaigia Jimboni kwetu na kurudisha heshima
stahiki ya Manajimbo na Nchi kwa Ujumla Wake. Tanzania Mpya Oyee!