Zoezi la kuhesabu kura katika Jimbo la Isimani mkoani Iringa limekamilika na Waziri wa Aridhi William Lukuvi ameibuka mshindi kwa kupata kura 453.
Lukuvi – 453
Kiyoyo – 16
Mwilinge – 5
Kidunye – 5
Kalinga – 4
Mfilinge – 4
Kushoka – 0
Chengula – 0
Gange – 0.