Maafisa wa UN Wasimamishwa Kazi Kwa Kufanya Vitendo vya Ngono Kwenye Gari la Ofisi


Umoja wa Mataifa (UN) umewapeleka likizo ya bila malipo wafanyakazi wake wawili wanaokabiliwa na kashfa ya kufanya vitendo vya ngono katika gari la kazini nchini Israel

Maafisa hao walichukuliwa video katika gari lililokuwa na nembo ya UN huko Tel Aviv ambapo Mwanamke alionekana akiwa amemkalia Mwanaume katika kiti cha nyuma cha gari

UN ilitangaza kuanza uchunguzi wa video hiyo ya sekunde 18 iliyosambaa katika Mitandao ya Kijamii tangu mwezi uliopita
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad