Maajabu Mangine Yatakayokuacha kinywa wazi Kuhusu Tembo


  • Uzito kilo elfu saba 7,000 sawa na tani 7.
  • Ubeba mimba kwa miezi 24 sawa na miaka 2 na kuzaa watoto wawili tu.
  • Tembo huyu ula nyasi za aina mbalimbali kufikia uzito wa kilo 170 na maji Lita 200 kwa siku.
  • Tembo ni miongoni mwa wanyama wapole kabisa lakini wenye nguvu nyingi zaidi kiasi cha kuogopwa na wanyama wote au kuwa na uwezo wa kuangusha miti mikubwa kwa mkonga wake.
  • Meno yake mawili yaliokaa kama pembe ni miongoni mwa bidhaa adimu ulimwenguni hasa kwa mataifa ya Asia india kama China, Thailand, Japan, Korea ambayo utumika kama malighafi ya kutengenezea vinyago au sanamu ambazo ufanywa kama miungu katika nyumba zao za ibada.
  • Hali hii imeyafanya meno hayo kuwa na thamani ya kubwa ya kifedha hivyo kupelekea kutafutwa sana na majangili na kusababisha tembo Wengi kuuwawa duniani.
  • Tembo hana maadui Wengi kwani Wengi wao umwogopa hata kumsogelea akiwemo mamba endapo atavuka mto au kwenda kunywa maji, nyoka ni miongoni mwa hatari kwa tembo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad