Magufuli "Haijawahi Kutokea Kwamba Katika Chama Kimoja Wagombea Kitu Cha Ubunge Kufika Elfu Kumi"
0
July 20, 2020
“Waliochukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali za Ubunge na Uwakilishi kupitia CCM Tanzania nzima wamefikia 10,367 na katika hao ambao wamekamilisha taratibu zote na kurudisha fomu zao zikiwa kamili ni 10,321 ambao hawakuzirudisha ni 46 tu Nchi nzima” -JPM baada ya uapisho wa Viongozi walioteuliwa katika nyadhifa mbalimbali Ikulu ya Chamwino, Dodoma leo
“Kiukweli wengi sana wamejitokeza kuchukua fomu za kugombea Ubunge kupitia CCM, wamefikia 10,367 haijawahi kutokea kwamba katika Chama kimoja wagombea kitu cha Ubunge pekee wanafikia idadi hii, bado Udiwani, nawapongeza sana waliochukua fomu” -JPM
Tags