Magufuli "Tunatuma Fedha za Bodi ya Mfuko wa Barabara, Sijui zinakwenda Wapi"



“Kwa mujibu wa Sheria ya Barabara, Barabara ikishakua ya lami inapata 100% ya ukarabati (Maintanance), Fedha za Bodi ya Mfuko wa Barabara (Road Fund) sijui zinakwenda wapi!, Serikali haijalala, hili la ubovu wa Barabara (Kusini-DSM) nawahakikishia nitalishughulikia mwenyewe”-JPM

“Tunatuma fedha za Bodi ya Mfuko wa Barabara (Road Fund) na tunatuma fedha za Halmashauri haiwezekani Barabara mbovu Kusini -DSM, hakuna stendi Somanga, Uchaguzi unakuja, tujipange vizuri na tuchague wawakilishi ambao tutawabana na watatuwakilisha vizuri” -JPM
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad