Mama Salma Kikwete aongoza kura za maoni Jimbo la MchingaP



Katika Jimbo la Mchinga, Mama Salma Kikwete, amepata kura za maoni 92 za kugombea nafasi ya ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akifuatiwa na Saidi Mderu, kura 68, watatu ni Liziki Lulida, Kura 62, Abdulazizi Silipi, kura 52

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad