Masauni ashinda kura za maoni Jimbo la Kikwajuni Mjini Unguja


Naibu Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Yussuf Masauni ameibuka kidedea kwa ushindi wa kura za awali za kuomba kuteuliwa na chama cha Mapinduzi CCM kuwa mgombea wa Ubunge katika Jimbo la Kikwajuni Mjini Unguja. 


Katika matokeo ya kura hizo Masauni alipata jumla ya kura 86 huku akifuatiwa na Aboud Hassan Mwinyi aliepata kura 9 na wa tatu Mansab Haji Ramadhani aliepata kura 4.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad