Web

Maskini Dokta Shika Ugonjwa Umechachamaa Pesa Hana

Top Post Ad


Dr Louis Shika ana matatizo ya figo kitaalamu tunanaita chronic renal failure stage 5(CKD5HD), alifanyiwa Dialysis Bugando lakini haikuendelea kutokana na upungufu wa pesa, hali ya Dr Shika sio nzuri anahitaji msaada kwa matibabu zaidi juu ya tatizo lake.

Kwa sasa hivi yuko mwanza amelazwa na inaonekana hana matumaini tena hata ndugu hawana matumani.. Kwa kawaida dialysis ama Huduma ya kusafisha figo inagharimu kiasi cha milioni 50 hadi mia kwa mwaka.. Wagonjwa Wa dialysis husafishwa damu kwa muda usiopungua masaa 4 mara tatu kwa wiki kwa maisha yake yote.

Watanzania naombeni tumsaidie sana huyu Mzee wetu ili apate faraja ya uhai tena,kwani asipoendelea kupata huduma ya dialysis basi siku zake za kuishi zitapungua sana

Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.