Masoko ya Hisa Duniani Yaporomoka



Masoko ya hisa duniani na masoko ya hisa nchini Marekani yamelegalega baada ya hazina ya Marekani kuonya kwamba janga la virusi vya corona huenda likatishia uchumi uliorejea katika hali ya kawaida uliyoweka viwango vya riba karibu ya sifuri.

Kuanguka kwa hisa kuliongezeka kwa kasi katika mataifa ya Ulaya baada ya Ujerumani kusema uchumi wake ulinywea kwa asilimia 10 katika robo ya pili kwenye kipindi cha miezi mitatu iliyopita. Viwango vya chini vya riba na matarajio ya wawekezaji juu ya uwezekano wa kupatikana kwa chanjo dhidi ya virusi vya corona vilisaidia masoko ya dunia kuwa kwenye hali nzuri katika sehemu kubwa ya mwaka huu.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad