Mdee ametuka ujumbe huo leo kupitia kwenye ukurasa wake wa Twitter na kudai kuwa Sheikh Ponda atabaki kwenye vitabu vya histori ya nchi kutokana na ujasili wake na kujitoa kwake.
“Sheikh PONDA UTABAKI kwenye HISTORIA ya NCHI hii kwa kuwa miongoni wa VIONGOZI WA DINI wachache SANA mliojitoa KUSIMAMIA HAKI na KWELI! Asante SANA SHUJAA wangu!! “ ameandika Halima Mdee.
Jeshi la polisi nchini lilithibitisha kumkamata Sheikh Ponda mmamo Julai 11,2020 baada ya kusambaa walaka wa uchochezi kuelekea kwenye uchaguzi mkuu.
Sheikh PONDA UTABAKI kwenye HISTORIA ya NCHI hii kwa kuwa miongoni wa VIONGOZI WA DINI wachache SANA mliojitoa KUSIMAMIA HAKI na KWELI! Asante SANA SHUJAA wangu!! ✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿💪🏿#FreeSheikhPondaIssaPonda pic.twitter.com/IEtT5dZYAG
— Halima James Mdee (@halimamdee) July 13, 2020