Padre Recardo Maria anasifika kwa kuishi maisha ya "ufukara" na unyenyekevu,akiwasaidia watu wa dini na rika zote ktk shida mbalimbali,ameanzisha shule ktk mji wa Morogoro na kusomesha vijana wengi wasio na uwezo.Pia amefungua kituo cha Radio Huruma ktk mji wa Morogoro.
Padre Pekupeku kwa "ufukara" wake hulala chini kama ishara ya majitoleo yake,havai viatu wala kutumia usafiri wa gari ktk mizunguko yake zaidi ya baiskeli,katika umbali mdogo Pd.Recardo hutembea,kwa walioishi naye maeneo ya Iringa na Morogoro wameshuhudi kuwa ana uwezo wa kutembea zaidi ya kilomita kumi hadi ishirini kwa mguu
Maisha ya Pd.Recardo yamejaa "ufukara" na "unyenyekevu". Amesomesha vijana wengi sana ktk miji ya Iringa na Morogoro.Amejitolea kwa mambo mengi.Bado kuhusu usafi na uchaji wake kwa Mungu ni Muumba mwenyewe ndio anaejua,lakini kwa macho ya kibinadamu amefanya kazi yake
Hongera Pd.Pekupeku.
Enter your comment...mm nimmoja ya wafaifika nashule zake nadhangaa kutoonekana michango wake nawapongeza Sana kwa hili
ReplyDelete