Mkapa Amefanya Mengi Kwenye Sekta ya Michezo, Naambiwa Alikuwa Shabiki wa Yanga- JPM


“Mkapa amefanya mengi kwenye sekta ya michezo, na ni kwasababu aliipenda michezo pia naambiwa alikuwa shabiki wa Yanga ingawa sikuwahi kumsikia akisema hadharani..Mzee Kikwete ananiambia hapa kweli alikuwa Yanga maana na Kikwete ni shabiki wa Yanga, sijui Mwinyi timu gani!”- JPM
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad