Mkojo ni Dawa, Manufaa 7 ya kiafya ya Kushangaza



Kwa kawaida, tunajua kuwa Mkojo hayana maana na wakati wake wa kutoka mwilini unapofika, choo ndicho huja akilini. Lakini je umewahi kufikiri kuwa makojoo hayo huweza kuwa na manufaa makubwa ya kiafya ama hata kuokoa maisha?
Hizi ni sababu za kiafya zitakazokuacha kwa mshangao kuhusu manufaa ya makojoo:

Mkojo hulainisha ngozi. Unapotumia makojoo kunawa uso kila asubuhi ngozi yako inanyooka na kulainika si haba.

Kutibu utasa. Kwa kiwango fulani, utafiti umebaini kuwa unywaji wa makojoo huwa suluhu kwa mtu asiwe na uwezo wa kuzaa. Ha hivyo kabla kutumia makojoo ka njia, ni vyema kupata ushauri wa daktari.

Kumeupisha meno. Waroma wa zamani walikuwa wanatumia makojoo katika kusafisha meno na kuyafanya kuwa meupe, kando na hivyo huondoa harufu mbaya.
Kwa wanadada, matumizi ya mkaojoo katika kuosha nywele huacha nywele yako ikimetameta na kulainika kabisa na kuzikinga dhidi ya kuharibika haraka.

Pia, makojoo huweza kutumika katika kusafisha gamu iliyokwama kwenye vifaa.
Makojoo pia humika katika kuondoa madodoa sugu haswa kwenye glasi. Tia makojoo kwenye kipande cha nguo kisha sugua pole pole hadi iwe safi.

Ikiwa hukuwahi kufikiri kuwa makojoo huweza kufanya kazi zaidi ya kutiwa chooni basi sasa una sababu ya kujaribu mojawapo ili kuthibitisha ukweli huu.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. DUUU HAYO NIMAAJABU KWELI MAANA KWAMIMI SIWEZI KUNYWA MKOJO

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad