Mkurugenzi wa Mawasiliano CHADEMA Atangaza Nia Kugombea Ubunge
2
July 02, 2020
“Nimetangaza Nia ya kugombea Ubunge Jimbo la Segerea Katika uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu kama Chama changu Cha Demokrasia na Maendeleo-Chadema kitanipa fursa hiyo.Naomba ushirikiano kwa wananchi wa Jimbo hili.”- Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mambo ya nje wa @ChademaTz JOHN MREMA
Tags
Mrema, Umechelewa mwanangu.
ReplyDeleteSaccozi ina matatizo kibao. na muda si mrefu watafunga ofisi hizi za Gumashi.
ushauri wangu hamia Tadea, Ajira ipo
au nenda NSSR.
NCCR OYEEE..!!
Delete