Mrembo Poshy Qeen Mwenye Umbo la Mvuto Kachumbiwa na Mwanaume Huyu Huko Kwako Mbeya
0
July 19, 2020
Ni Mrembo aliejibebea umaarufu kupitia mtandao wa instagram, Poshy Queen time hii anaandika vichwa vya habari baada ya kuvalishwa Pete ya Uchumba na mpenzi wake mwenye uraia wa Nigeria aitwae John.
Tags